George Weah mwanasoka wa zamani aliyechaguliwa kuwa senetor nchini Liberia

George Weah mwaka 1995 aliwahi kuwa mchezaji wa kwanza wa Afrika kushinda tuzo ya Ballon d'Or kama mchezaji wa soka wa Ulaya ambaye alizichezea AC Milan, PSG na Monacco amechaguliwa kuwa Senetor nchini Liberia kwa kupata asilimia78 ya kura zilizopigwa december 20.  Weah aliwahi kugombea urais 2005 lakini alishindwa.

No comments