Kauli ya Ray C kuhusu Diamon na Alykiba:
Msanii mkongwe wa Tanzania Ray C ameelezea kile anacofikiria kuhusu Diamond na Ali Kiba na kusema kusema kuwa ni wakati wa wawili hao kufanya kazi kwa ushirikano na kuacha malumbano.
“Napenda siku moja nimsikie Diamond na Kiba wanafanya kazi pamoja, Ray C na Recho wanafanya kazi pamoja Ray C na Jay dee wanafanya kazi pamoja, tukienda hivyo ndio tutafika mbali, lakini tukitengeneza upinzani team nani team nani hatuwezi kufika sehemu yoyote, sababu ule muda ambao unafikiria kuzozana na kuangalia mashabiki wanasema nini ndio ungeutumia ule muda nyie wote wawili kufanya kazi kwa pamoja.''
“So I think kila mtu ana nafasi yake, Alikiba is a very very good singer, aangalie labda ni management tatizo au ni nini ili aweze kurudi kwenye peak tena…Lakini nauhakika alivyorudi sasa hivi akipata support hata ya huyo Diamond mwenyewe anaweza kufika mbali.”

No comments