Sospeter Muhongo ajiuzulu, Mabadiliko madogo yafanyika kwa upande wa Mawaziri na manaibu wao..

Baada ya Waziri wa nishati na madini kuachia ngazi leo haya ndiyo mabadiliko madogo yaliyofanyika kwa upande wa Mawaziri na manaibu wao
Mawaziri
George Simbachawene – Waziri wa Nishati na Madini
Mary Nagu- Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Mahusiano na Uratibu
Christopher Chiza- Waziri Uwezeshaji na Uwekezaji
Harrison Mwakyembe- Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
William Lukuvi- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi
Steven Wasira- Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Samuel Sitta- Waziri wa Uchukuzi
Jenista Muhagama- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge
Manaibu Waziri
Stephen Masele - Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu Rais- Muungano
Angela Kairuki - Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi
Ummy Mwalimu - Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Anne Kilango - Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Charles Mwaijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini

No comments