KAULI ZA WEMA NA JOKATE KUHUSU ALI KIBA BAADA KUSHINDA TUZO NYINGI KTMA
Wema na Jokate ambao inadaiwa waliwahi kuwa wapenzi wa Diamond sasa inasemekana wao ni TEAM KIBA Yapo waliyoandika kumpongeza Ali Kiba baada ya Tuzo za KTMA
JOKATE>>>Hongera Sana Cherie @officialalikiba Kwa Kujishindia Tuzo Sita Jana Usiku Kwenye Kiba Tanzania Music Awards (KTMA) sorry Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015. Teh teh teh. Ni Kitu Cha Kumshukuru Mungu Ulikaa Kimya Miaka 3 Ila Ukarudi Na Wimbo Mmoja Ukatuteka Tena’
WEMA>>>Nilitaka zote saba ila hata 6 pia sio mbaya…. #KingKiba…. Umetisha’
Post iliyofuata jocate aliweka picha yake na wema kisha akaandika hivi ''It's a beautiful and powerful thing when strong girls come together..with the sweetheart@wemasepetu

No comments