UPINZANI NCHINI BURUNDI KUSUSIA UCHAGUZI
Vyama 17 nchini Burundi vimepanga kususia uchaguzi mwezi ujao. Upinzani umesema kuwa uchaguzi huo hautakuwa huru na wa haki kwa kuwa Piere Nkurunziza hafai kugombea awamu ya Tatu ili kuiongoza nchi hiyo.Nchi hiyo imekumbwa na machafuko hivi karibuni baada ya mwezi wa nne Rais Piere kutangaza kuwa atagombea awamu ya tatu ya urais nchini humo.
No comments