WAPINZANI RWANDA WAMGOMEA KAGAME KUWANIA MUHULA WA 3
Wapinzani nchini Rwanda washutumu na kugomea mapendekezo ya kurekebisha katiba ya nchi hiyo ili kumruhusu PAUL KAGAME kugombea muhula wa 3.
Kagame amekuwa rais wa nchi hiyotangu kukomeshwa kwa mauaji ya kimbali ya maka 1994.
Wengi wamekosoa mpango huo ambao zaidi ya raia milion 7.3 wametia saini mkukubali huku ikisemekana kuwa wengi wao ni wafungwa ambao kwa mujibu wa sheria hawaruhusiwi kupiga kura.
Migogoro kama hii imejitokeza nchini Congo na hata Burundi ambako mpaka sasa bado khali si shwari kutokana na kupinga rais kutogombea muhula wa 3 ambao ni kinyume na katiba.

No comments