Nchi za umoja wa ulaya EU zamtunuku FID Q

''Nina furaha kubwa ya kuwataarifu ya kwamba siku hii ya leo nimetunukiwa TUZO ya UBINGWA/ UKINARA wa mwaka wa maendeleo ya umoja wa nchi za Ulaya.. Asanteni sana kwa DUA zenu, MBARIKIWE SANA''

Hayo ndiyo maneno aliyoandika Fid Q na picha aliyo-post katika ukurasa wake wa facebook.

Amekuwa mshindi kutoka Tanzania wa tuzo hizo za mwaka wa maendeleo ya umoja wa nchi za Ulaya EU

No comments