HIZI NDIZO ATM ZA MAJI KENYA
Baadhi ya familia nchini Kenya zimenufaika na mradi wa maji ambao hutolewa kwa njia ya ATM maalumu za maji.
Wakazi hao wa kitongoji duni cha Mathare ambacho kipo katika mji mkuu wa Kenya wamefikishiwa huduma hiyo ambapo huweza kupata maji ya kunywa na ya kutumia kwa matumizi mengine.
Kampuni ya maji ya Grundfos ya Denmark kwa kushirikiana na serikali ya mitaa nchini humo.
Vimewekwa vituo vya kuuza maji, wenyeji hutumia kadi maalumu zenye pesa kununua maji kwa bei nafuu. Awali kabla ya mradi huo wakazi hao walikuwa wakinunua maji kwa bei ghali kutoka kwa wauzaji.

No comments