Hawa ndio Wasanii wanane wa Tanzania waliingia katika Nominees za tuzo za AFRIMA 2015

Tuzo za AFRIMMA zitafanyika Dallas Marekani October 2015 na hapa tayari imenifikia hii ndiyo list ya  waliochaguliwa kuwania Tuzo hizo, wanane wakitokea Tanzania.
1. ALI KIBA
2. DIAMOND
3. MRISHO MPOTO
4. LADY JAY D
5. OMMY DIMPOZ
6. VANESSA MDEE
7. KHADIJA KOPA
8. SHED CLEVER (PRODUCER)

Bofya hapa kutazama Nominees na kupiga kura >>>Nominees 2015 | – Afrimma

No comments