MAGUFULI apitishwa na CCM Kuwa mgombea urais kupitia chama hicho

Katikakura zilizopigwa jana huko Dodoma inaonesha kuwa magufuli amewapiga kumbo Asharose Migiro na Amina Salum.

Magufuli amejipatia 87% ya kura,  Asharose Migiro10%,  Amina Salum3% hivyo hii ni dhahiri kuwa Magufuli ndiye mteule wa CCM kugombea Urais mwaka 2015.

Kupitia ukurasa wa twitter wa CCM walitoa matokeo haya;
Chama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania
Matokeo ya kura za Wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni : Mhe.John Magufuli 87%, Dk.Asha Migiro 10% na Balozi Amina Ali 3%

No comments