RAIS Athibitisha majina matano ya wagombea yaliyopitishwa na CCM

Taarifa zilizagaa mitandaoni kuhusu majina majina matano yaliyopitishwa katika mchujo wa kwanza wa wagombea CCM.

Awali Majina hayo yaliwekwa katika ukurasa wa twitter wa CCM,  lakini sasa Rais Jakaya Kikwete naye ameweka majina hayo yaliyopita katika ukurasa wake wa twitter ambapo alipost hivi.

Kamati Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe John Magufuli Asha Rose Migiro Januari Makamba Amina S. Ali– @

Jakaya Kikwete @jmkikwete
Kamati Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe John Magufuli Asha Rose Migiro Januari Makamba Amina S. Ali
 

No comments