Taarifa kuhusu majina matano ya Wagombea Urais yaliyotolewa na kamati ya CCM huko Dodoma

Taarifa za Majina  TOP FIVE yaliyowekwa katika mitandao ya kijamii ukiwemo ukurasa wa twitter wa CCM. Hata hivyo duru za habari zinasema kuwa leo asubuhi ndipo Nape Nnauye alisema watatangaza rasmi majina hayo
1.Benard Membe
2.John Magufuli
3.Asharose Migiro
4.January Makamba
5.Amina Salumu Ali

Hata hivyo mchakato huo bado unaendelea ili kumpata mgomea mmoja kati ya hao watano ambaye  atagombea urais kupitia CCM mwaka huu.

Kwa taarifa zaidi tutakujuza na kama kutakuwa  na mabadiliko kutokana na taarifa hizi tutakujuza pia

No comments